Basi gani linaenda Kampala kutokea Bukoba?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,189
Reaction score
10,375
Msaada wenu tafadhali!
1. Basi gani linaenda Kampala saa tatu Asubuhi kutokea Bukoba?
2. Nauli yake ni shilingi ngapi?

Mara ya mwisho nilitoka Kampala hadi Mutukula kwa Ush 30,000 ambayo ni kama elfu ishirini za Kitanzania, japo walinianzia shilingi za Kiganda 40,000 lakini nilibargain hadi Ush 30,000/=.

Sijawahi kusafiri kwa basi la moja kwa moja kutoka Bukoba hadi Kampala!

Msaada kwa mwenye taarifa, tafadhali!

Asante🙏🙏🙏
 
Dah hizo bus raha anakaa pembeni mutoto muzuri.....na uzuri wa pande hizo kukuta mdada hana kijungu jiko ni ngumu....nilipandaga toka kampala kwenda bukoba mutoto alikua anaenda mwanza dah nilitamani nipitilize mpaka mwanza vitu vimetick halafu inabidi ushuke
 
Msaada wenu tafadhali!
1. Basi gani linaenda Kampala saa tatu Asubuhi kutokea Bukoba?
2. Nauli yake ni shilingi ngapi?

Mara ya mwisho nilitoka Kampala hadi Mutukula kwa Ush 30,000 ambayo ni kama elfu ishirini za Kitanzania, japo walinianzia shilingi za Kiganda 40,000 lakini nilibargain hadi Ush 30,000/=.

Sijawahi kusafiri kwa basi la moja kwa moja kutoka Bukoba hadi Kampala!

Msaada kwa mwenye taarifa, tafadhali!

Asante[emoji120][emoji120][emoji120]
Usipiteze mda wako siku ya j4 na jmos air Tanzania ina safari za kuenda uganda fare ina range kati ya $150 one way bila kodi ni 1hr na 15minute uko EBB Airport
 
Kama utasubiri bukoba basi itapanda friends za kutokea Mwanza to kampala , lakini ungesogea mtukula mapema au jioni ukilala pale mtukula asubuhi saa 11 unaondoka na saa nne asubuhi uko kampala,
Mimi natamani niondoke saa kuanzia saa mbili Asubuhi Hadi saa nne Asubuhi. Si chini na si zaidi ya huo muda!

Hizo za kutoka Mwanza zinafika Bukoba saa ngapi?

Nitalala Bukoba au Mutukula ili niweze kuvuka border saa mbili au nne hivi.
 
Kalale mutukula ni rahisi zaidi
 
Mimi natamani niondoke saa kuanzia saa mbili Asubuhi Hadi saa nne Asubuhi. Si chini na si zaidi ya huo muda!

Hizo za kutoka Mwanza zinafika Bukoba saa ngapi?

Nitalala Bukoba au Mutukula ili niweze kuvuka border saa mbili au nne hivi.
Hapo Mwanza kuna basi inaitwa Friends inaenda mpaka Kampala. Inaondoka asubuhi mnafika usiku
 
Halafu mutukula basi unaondoka saa Tisa alfajiri Kampala saa 2 asubuhi , ukifika kampala ulizia soko linaitwa owino , ukifika hapo Pana lodge ya ghorofa vyumba25k hadi 30k inaitwa Argentina ndio uanzie mitikasi hapo
 
Hiyo lodge inaitwaje mkuu? Ubora wa yumba vyake upoje? Kuna mitaa mingine yenye gesti za gharama nafuu?
 
Back
Top Bottom