Basi gani linaenda Kampala kutokea Bukoba?

Basi gani linaenda Kampala kutokea Bukoba?

Dah hizo bus raha anakaa pembeni mutoto muzuri.....na uzuri wa pande hizo kukuta mdada hana kijungu jiko ni ngumu....nilipandaga toka kampala kwenda bukoba mutoto alikua anaenda mwanza dah nilitamani nipitilize mpaka mwanza vitu vimetick halafu inabidi ushuke
Nauli ya efu 30 unabargain na bado unaenda nje ya nchi?😡😡😡
 
Halafu mutukula basi unaondoka saa Tisa alfajiri Kampala saa 2 asubuhi , ukifika kampala ulizia soko linaitwa owino , ukifika hapo Pana lodge ya ghorofa vyumba25k hadi 30k inaitwa Argentina ndio uanzie mitikasi hapo
JETINA Sio Argentina Mkuu.
 
Kama utasubiri bukoba basi itapanda friends za kutokea Mwanza to kampala , lakini ungesogea mtukula mapema au jioni ukilala pale mtukula asubuhi saa 11 unaondoka na saa nne asubuhi uko kampala,
Chotera kalisizo sh. Ngapi?
 
Back
Top Bottom