GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
πππUrahisi fika mutukula vuka upande wa uganda utakuta tax zao zinazofika Kampala au subiri gari linalotoka dar kwenda Uganda Lina siku zake nimesahau
Mimi siyo mwenyeji huko mkuu!Vipi Kampala coach hazipo
Usipiteze mda wako siku ya j4 na jmos air Tanzania ina safari za kuenda uganda fare ina range kati ya $150 one way bila kodi ni 1hr na 15minute uko EBB AirportMsaada wenu tafadhali!
1. Basi gani linaenda Kampala saa tatu Asubuhi kutokea Bukoba?
2. Nauli yake ni shilingi ngapi?
Mara ya mwisho nilitoka Kampala hadi Mutukula kwa Ush 30,000 ambayo ni kama elfu ishirini za Kitanzania, japo walinianzia shilingi za Kiganda 40,000 lakini nilibargain hadi Ush 30,000/=.
Sijawahi kusafiri kwa basi la moja kwa moja kutoka Bukoba hadi Kampala!
Msaada kwa mwenye taarifa, tafadhali!
Asante[emoji120][emoji120][emoji120]
Linaanzia wapi safari zake?Vipi Kampala coach hazipo
πππPanda gari za kuishia mpakani na uganda
Gonga passport vuka mpaka kwa miguu tu ukifika upande wa uganda basi ziko kibao za kampala
Mimi natamani niondoke saa kuanzia saa mbili Asubuhi Hadi saa nne Asubuhi. Si chini na si zaidi ya huo muda!Kama utasubiri bukoba basi itapanda friends za kutokea Mwanza to kampala , lakini ungesogea mtukula mapema au jioni ukilala pale mtukula asubuhi saa 11 unaondoka na saa nne asubuhi uko kampala,
Kalale mutukula ni rahisi zaidiMimi natamani niondoke saa kuanzia saa mbili Asubuhi Hadi saa nne Asubuhi. Si chini na si zaidi ya huo muda!
Hizo za kutoka Mwanza zinafika Bukoba saa ngapi?
Nitalala Bukoba au Mutukula ili niweze kuvuka border saa mbili au nne hivi.
Hapo Mwanza kuna basi inaitwa Friends inaenda mpaka Kampala. Inaondoka asubuhi mnafika usikuMimi natamani niondoke saa kuanzia saa mbili Asubuhi Hadi saa nne Asubuhi. Si chini na si zaidi ya huo muda!
Hizo za kutoka Mwanza zinafika Bukoba saa ngapi?
Nitalala Bukoba au Mutukula ili niweze kuvuka border saa mbili au nne hivi.
Hiyo lodge inaitwaje mkuu? Ubora wa yumba vyake upoje? Kuna mitaa mingine yenye gesti za gharama nafuu?Halafu mutukula basi unaondoka saa Tisa alfajiri Kampala saa 2 asubuhi , ukifika kampala ulizia soko linaitwa owino , ukifika hapo Pana lodge ya ghorofa vyumba25k hadi 30k inaitwa Argentina ndio uanzie mitikasi hapo
πππChukua Friends chap mpaka Kampala Bakuli