Basi gani linaenda Kampala kutokea Bukoba?

Nauli ya efu 30 unabargain na bado unaenda nje ya nchi?😑😑😑
 
Halafu mutukula basi unaondoka saa Tisa alfajiri Kampala saa 2 asubuhi , ukifika kampala ulizia soko linaitwa owino , ukifika hapo Pana lodge ya ghorofa vyumba25k hadi 30k inaitwa Argentina ndio uanzie mitikasi hapo
JETINA Sio Argentina Mkuu.
 
Kama utasubiri bukoba basi itapanda friends za kutokea Mwanza to kampala , lakini ungesogea mtukula mapema au jioni ukilala pale mtukula asubuhi saa 11 unaondoka na saa nne asubuhi uko kampala,
Chotera kalisizo sh. Ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…