Basi gani linalotoka Mbeya kwenda Masasi/Mtwara?

Basi gani linalotoka Mbeya kwenda Masasi/Mtwara?

Nilikuwa nataka nifahamua na bei yake kabisa ili nijipange mazima nikitoka huku wilayani.. nikifika hapo Green City kesho yake niamshe mapema.
Wahi za Mbinga - Songea - Sumbawanga ili ukalale Songea kupunguza umbali wa safari.

#YNWA
 
Ndio nasikia inaanza kujengwa mwaka huu kutoka MbambaMbambay(sijui inaitwa hivyo.!!)

Lini tenda imetangazwa na nani kashinda,acha kuhadaika na fake promises za viongozi mafisadi.

Huo ujenzi ni ndoto za alinacha.
 
Kupitia Njombe mapema sana masasi, vipi Manning Nice na Baraka hawapo hio route Mbeya-Masasi-Mtwara
Baraka na Maning wao wanaanzia Tunduru kuelekea Masasi Lindi na Dar
 
Lini tenda imetangazwa na nani kashinda,acha kuhadaika na fake promises za viongozi mafisadi.

Huo ujenzi ni ndoto za alinacha.
Mimi nimesema nilichosikia,, kama uongo/ukweli basi wanajua wenyewe
 
Back
Top Bottom