Basi gani nzuri luxury ambayo nitasifiri kutoka DAR-MWANZA

Basi gani nzuri luxury ambayo nitasifiri kutoka DAR-MWANZA

Habar wakuu naombeni msaada wenu gari Gani nzuri luxury ambayo ntasafiri comfortable nafamilia toka dar kwenda mwanza
Nasikia lipo Ally's, nauli yake ni 150,000, ila TV hazifanyi kazi, huwezi kuunganisha na simu usikilize. Sema nasikia mnakua kama watu 30 tu. Ngoja nitafute yule dada wa TikTok alikua anafanya review
 
Nilipanda la 70k Mza-Dar lina mende hatari
Pole sana, Katarama sio mabasi ya kupanda iwe una safari ya Mwanza, Bukoba au Mbeya

Na kuna moja linavuja mvua ikinyesha body yake ni ya AVA Kenya, Katarama wamepigwa

Katarama wanajali mambio ila huduma ni zero kabisa

Kukuta mende au kunguni kwenye mabasi yao ni kawaida
​
 
Pole sana Katarama sio mabus ya kupanda iwe una safari ya Mwanza, Bukoba au Mbeya

Na kuna moja linavuja mvua ikinyesha body yake ni ya AVA Kenya wamepigwa

Katarama wanajali mambio ila huduma ni zero kabisa

Kukuta mende au kunguni kwenye mabasi yao ni kawaida
​
Nililopanda angalau wapo vizuri ni Happy Nation kwa 65k huduma kama ya 100k
 
Bongo nzima hamna basi luxury
Yapo bosi, kule Arusha/Moshi -Dar unapata mabasi Luxury (basi zima viti 33) na makorokoro kibao kama tu ndege. hata Dar kwenda Dodoma yapo Luxury, ni hela yako tu
Au wewe unaongelea yale ya viti 55 na kachoo ka kuunga unga wanaitwa Luxury?
 
Ndege unaijua?au umehadithiwa?
 
Ndege unaijua?au umehadithiwa?
Ndege nazielewa Bosi. Ujue ndege inategemea ni standard gani ya ndege unaongelea na ni daraja gani umebook (nazo zipo tofauti tofauti kama tu mabasi yalivyo).
Mfano hizi caravan (C208) zinazofanya safari hapa bongo, tukiongelea uluxury zinatofauti gani na basi la kawaida la masafa (hazina choo, viti vimesongana kama Hiace nk) au hata ukipanda ndege za kwenda Nje ukakaa daraja letu pendwa (daraja la tatu) nini kipya?
 
Back
Top Bottom