malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,913
- 4,695
Bongo nzima hamna basi luxuryHabar wakuu naombeni msaada wenu gari Gani nzuri luxury ambayo ntasafiri comfortable nafamilia toka dar kwenda mwanza
NAKAZIABongo nzima hamna basi luxury
Nasikia lipo Ally's, nauli yake ni 150,000, ila TV hazifanyi kazi, huwezi kuunganisha na simu usikilize. Sema nasikia mnakua kama watu 30 tu. Ngoja nitafute yule dada wa TikTok alikua anafanya reviewHabar wakuu naombeni msaada wenu gari Gani nzuri luxury ambayo ntasafiri comfortable nafamilia toka dar kwenda mwanza
Acha kusafirisafiri kipindi hiki cha watafuta madaraka
Nilipanda la 70k Mza-Dar lina mende hatariPanda mabasi ya Ally's Star VVIP utanishukuru
Ila ukitaka usafirishwe kama mzigo panda Katarama
Nilipanda la 70k Mza-Dar lina mende hatari
Nililopanda angalau wapo vizuri ni Happy Nation kwa 65k huduma kama ya 100kPole sana Katarama sio mabus ya kupanda iwe una safari ya Mwanza, Bukoba au Mbeya
Na kuna moja linavuja mvua ikinyesha body yake ni ya AVA Kenya wamepigwa
Katarama wanajali mambio ila huduma ni zero kabisa
Kukuta mende au kunguni kwenye mabasi yao ni kawaida
Sasa 150,000 ukiongeza 50,000 si anapata tiketi ya ndege one-way. Wasukuma hamnazoNasikia lipo Ally's, nauli yake ni 150,000, ila TV hazifanyi kazi, huwezi kuunganisha na simu usikilize. Sema nasikia mnakua kama watu 30 tu. Ngoja nitafute yule dada wa TikTok alikua anafanya review
Umesema vyemaNililopanda angalau wapo vizuri ni Happy Nation kwa 65k huduma kama ya 100k
Yapo bosi, kule Arusha/Moshi -Dar unapata mabasi Luxury (basi zima viti 33) na makorokoro kibao kama tu ndege. hata Dar kwenda Dodoma yapo Luxury, ni hela yako tuBongo nzima hamna basi luxury
Ndege unaijua?au umehadithiwa?Yapo bosi, kule Arusha/Moshi -Dar unapata mabasi Luxury (basi zima viti 33) na makorokoro kibao kama tu ndege. hata Dar kwenda Dodoma yapo Luxury, ni hela yako tu
Au wewe unaongelea yale ya viti 55 na kachoo ka kuunga unga wanaitwa Luxury?
Allystar vip shingap dar mwanzaPanda mabasi ya Ally's Star VVIP utanishukuru
Ila ukitaka usafirishwe kama mzigo panda Katarama
Ndege shingap dar mwanza mke na watotob 2Sasa 150,000 ukiongeza 50,000 si anapata tiketi ya ndege one-way. Wasukuma hamnazo
Kila mtu na choice yake NduguSasa 150,000 ukiongeza 50,000 si anapata tiketi ya ndege one-way. Wasukuma hamnazo
Ndege nazielewa Bosi. Ujue ndege inategemea ni standard gani ya ndege unaongelea na ni daraja gani umebook (nazo zipo tofauti tofauti kama tu mabasi yalivyo).Ndege unaijua?au umehadithiwa?