Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 378
- 766
Duh AN wanatoa kafara gani? Juzi Tu nyingine EGU imeingia porini, mwezi uliopita nyingine ikaondoka na mmiliki
Basi la Abiria la Nguruka T545 D/W imegonga Treni ya Mizigo Y611 na kusababisha mabehewa matano kati ya 30 ya treni hiyo kuanguka na abiria 14 wa basi hilo kupata majeraha madogo
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Shirika la Reli Tanzania (TRC) imesema ajali hiyo imetokea usiku wa kuamkia Novemba 10, 2024 majira ya saa 4:20 usiku katika makutano ya reli na barabara kati ya Malagarasi na Nguruka, mkoani Kigoma
Taarifa hiyo imedai kuwa chanzo cha ajali hiyo kilitokana na dereva wa basi kulipita basi lingine lililokuwa limesimama ili kupisha treni na kusababisha ajali
Ivi nyie hamna akili, kila kitu eti magufuli aliweza kudhibiti kuliko Samia, kwaiyo tuwasaidie nini sasa??maana ndio ayupo kashakufa uyo mungu wenu,na Samia ndio raisMwisho wa mwaka ajali zimezidi
Jiwe kiasi fulani aliweza kudhibiti huyu Kizim-job naona ameshindwa
Akili ukiwa nayo wewe inatosha bibieIvi nyie hamna akili, kila kitu eti magufuli aliweza kudhibiti kuliko Samia, kwaiyo tuwasaidie nini sasa??maana ndio ayupo kashakufa uyo mungu wenu,na Samia ndio rais
Wewe una matatizoIvi nyie hamna akili, kila kitu eti magufuli aliweza kudhibiti kuliko Samia, kwaiyo tuwasaidie nini sasa??maana ndio ayupo kashakufa uyo mungu wenu,na Samia ndio rais
Jiwe alitubana sana tusifanye mambo mengi yanayohatarisha maisha yetu kutokana na uzembe, Sasa hivi tunajiachia tu na ndio faida ya uhuru wa manyani.Mwisho wa mwaka ajali zimezidi
Jiwe kiasi fulani aliweza kudhibiti huyu Kizim-job naona ameshindwa