Basi la Abiria la Nguruko imegonga Treni ya Mizigo, mabehewa matano yaanguka

Basi la AN classic imegonga treni usiku wa kuamkia Leo huko Kigoma.👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DCMKIDXqsx5/?igsh=MWZlZzdidjA2YmVhdQ==
 
kuna kafara zingine..mmiliki akifa na mali zake hufa kwa mtiririko tu...poleni sana
 
Dereva alipe gharama za kuinua hayo mabehewa halikadhalika alipe fidia kwa abiria wake.
Mngese sana huyo Davoo uchwara..))!!)()(
 
Ivi nyie hamna akili, kila kitu eti magufuli aliweza kudhibiti kuliko Samia, kwaiyo tuwasaidie nini sasa??maana ndio ayupo kashakufa uyo mungu wenu,na Samia ndio rais
Punguza makasiriko...Na wewe msifu Samia kwa mambo mazuri anayofanya(kama yapo) ili ku-balance hoja.
 
Rafu tu kama rafu nyingine.
 
Duh AN wanatoa kafara gani? Juzi Tu nyingine EGU imeingia porini, mwezi uliopita nyingine ikaondoka na mmiliki
Huyu AN, ukiona gari yake anayotembelea ni mbovu balaa, ( spana mkononi) na hajawahi kubadilisha gari tangu baba ake afariki... 🙂 🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…