Private investigator
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 303
- 287
Habari haijakamilikaBasi la AN Classic toka Tabora -Mbeya limetelekeza abiria toka juzi eneo la Machimbo. Abiria wameishiwa fedha na hakuna msaada mpaka muda huu.
Wamejaribu kumcheki RPC na Mkuu wa Kituo Machimbo lakini hakuna lililofanyika
mkuu hujui uchumi aliotuachia mwendazake?Yaani tokea juzi abiria nao wanasubiri msaada tu hapo!
Ningekuwa mimi nishasepa kitambo sana
Kama huna nauli zaidi ya pesa ya kula?Yaani tokea juzi abiria nao wanasubiri msaada tu hapo!
Ningekuwa mimi nishasepa kitambo sana
Badili ID kwa uandishi huuBasi la AN Classic toka Tabora -Mbeya limetelekeza abiria toka juzi eneo la Machimbo. Abiria wameishiwa fedha na hakuna msaada mpaka muda huu.
Wamejaribu kumcheki RPC na Mkuu wa Kituo Machimbo lakini hakuna lililofanyika.
Halafu ni mchunguzi huruHabari haijakamilika
Amenishangaza sanaHalafu ni mchunguzi huru