Basi la AN Classic latelekeza abiria eneo la Machimbo Sikonge, abiria wanahitaji msaada

Private investigator

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2012
Posts
303
Reaction score
287
Basi la AN Classic toka Tabora -Mbeya limetelekeza abiria toka juzi eneo la Machimbo. Abiria wameishiwa fedha na hakuna msaada mpaka muda huu.

Wamejaribu kumcheki RPC na Mkuu wa Kituo Machimbo lakini hakuna lililofanyika.
 
Wamejaribu kumcheki RPC na Mkuu wa Kituo Machimbo lakini hakuna lililofanyika
Habari haijakamilika
 
Msaada gan mnausubiri kwa siku nnee? badala ya kukomaa siku ileile ya kwanza ndani ya masaa matatu mrudishiwe nauli ?
Au nmeshazoea kuitwa wanyonge had mnashindwa kujipambambania? Huo ni ufala
 
Basi la AN Classic toka Tabora -Mbeya limetelekeza abiria toka juzi eneo la Machimbo. Abiria wameishiwa fedha na hakuna msaada mpaka muda huu.

Wamejaribu kumcheki RPC na Mkuu wa Kituo Machimbo lakini hakuna lililofanyika.
Badili ID kwa uandishi huu
 
Wawe wanasogea atawakuta mbele,,wengine watajikuta wamefika tu[emoji41][emoji41]
 
Back
Top Bottom