AahahaaNi kama simba walivyojichokea
Niliwahi kuliona hata mimi...ni kama la dodoma jiji limepak hotel moja manzese darajani na yamefanana kabisa mpaka rangi.
Kweli kabisamamlaka iliangalieBora hilo lipo hotelini,sasa hili lipo barabarani,kuna siku madereva walevi watalivaa nyakati za usiku na hiyo rangi yake ya giza.
Niambie liko wapi nikajichomolee vitu vya muhimu kwenye injini.Hili basi linalobeba wachezaji wa timu ya soka ya Kagera sugar limepaki pembeni ya barabara ya Morogoro-Dodoma maeneo ya Kihonda kwa muda wa mwezi mmoja sasa.
Nadhani litakuwa na hitilafu,kwanini wasilipeleke kupaki gereji kwa kuvutwa au kupakiwa kenye yale magari maalum.
Hofu yangu lisije kuwa chanzo cha ajali kwa watumiaji wa barabara hiyo hasa nyakati za usiku.
Askari wa usalama barabarani mkoa wa Morogoro hamlioni hili?.View attachment 2679285
Nililiona Kwa Mkomola pale almost wiki mbili nyuma.Muda huu naenda kihonda nipo nalipita daah
Mwezi mzima lipo hapo aisee... yes pale kituo cha mafuta kwa pembeni ni sehemu salama zaidi kwa kulipaki.Nililiona Kwa Mkomola pale almost wiki mbili nyuma.
Ni kweli, limekaa sehemu si salama. Wangelivuta hata kuliacha pale Petrol Station walau.
Mamlaka zinasubiri kupewa amri ya Kuunda Tume ya Kuchunguza Ajali.
Kumanisha niniTimu kongwe hiyo haina hela ya kuvuta na kukarabati basi. Inaibuka timu kutoka singida ndani ya msimu mmoja ishapata hela ya kusajili hadi wabrazil na hakuna anayejali. Nchi hii ? Duh