Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,010
- 6,766
Yutong au zhongtong la kichinaView attachment 1829173
BREAKING NEWS!
kuna taarifa kuwa basi la KANDAHAR toka karagwe to moshi limeungua huko karagwe,
Tunaendelea kufuatilia ili kuwaletea taarifa kamili, Ila tuwaombe wenye ndugu zao ambao wamesafiri leo kutokea Karagwe na bus la kampuni ya KANDAHARI mjaribu kuwatafuta kujua hali zao!
Ni ngumu kukuta scania, volvo, man Benz zimewaka motoDuuu,
Naamini kama mizigo imetolewa basi watu wa salama...
Haya mamichina yamezidi.
Naona Moto kwenye matairi. Itakuwa brake zime-jam wamelazimisha mpaka joto limeunguza matairi.Yutong au zhongtong la kichina
Seriously gari nyingi za kichina zina hili tatizoNaona Moto kwenye matairi. Itakuwa brake zime-jam wamelazimisha mpaka joto limeunguza matairi.
Kufilisika kwa kampuni panaanziaga hapo. Mabasi ya kichina TBS mko wapi?View attachment 1829173
BREAKING NEWS!
kuna taarifa kuwa basi la KANDAHAR toka karagwe to moshi limeungua huko karagwe,
Tunaendelea kufuatilia ili kuwaletea taarifa kamili, Ila tuwaombe wenye ndugu zao ambao wamesafiri leo kutokea Karagwe na bus la kampuni ya KANDAHARI mjaribu kuwatafuta kujua hali zao!
Na zile Princes Muro zilikuwa aina gani wakati zikiungua!Ni ngumu kukuta scania,volvo ,man Benz zimewaka moto
Hivi lifespan za haya mamichina zimafikisha miaka 7 kweli?Ni ngumu kukuta scania,volvo ,man Benz zimewaka moto
Tena hiyo mi5 umelitunza kweliHivi lifespan za haya mamichina zimafikisha miaka 7 kweli?
Kuna Scania tangu naipanda nikiwa mdg mpk leo si chini ya 20yrs na bado inadunda tuu, ni rangi tuu ndio inapakwa...
Haya ma ZongTong unalinunua likiwa 1st class baada ya 5 yrs ni 3rd class.
Yutong au Zhong tong nadhaniNa zile Princes Muro zilikuwa aina gani wakati zikiungua!
Halafu kuna chombo nchini kinaendeshwa na kodi zetu kinaitwa TBSSeriously gari nyingi za kichina zina hili tatizo
china karibia yote. Mostly HigerNa zile Princes Muro zilikuwa aina gani wakati zikiungua!
Gar ni Marcopolo Andare, tazama zile za Abood ziliingia 2007 mpaka kesho mwendo mdundoTena hiyo mi5 umelitunza kweli
Kiko mikononi mwao hicho...Halafu kuna chombo nchini kinaendeshwa na kodi zetu kinaitwa TBS
Kwa ajili ya kuonesha trafficHivi ile Fire extinguisher huwa ni ya nini?
View attachment 1829203
Kuwatajirisha maafisa wa kikosi cha fireHivi ile Fire extinguisher huwa ni ya nini?
View attachment 1829203
Kinalisha na kulea familia zaoKiko mikononi mwao hicho...