Na michepukoKuwatajirisha maafisa wa kikosi cha fire
Kinalisha na kulea familia zao
Nimecheka sana hii ndio Tanzania yangu😂😂😂🙌🙌🙌🙌Kwa ajili ya kuonesha traffic
Vyovyote vileZa kiume au za kike?
Watu wapo salama
😆😂🤣Na michepuko
🤣🤣🤣🤣Kwa ajili ya kuonesha traffic
Siyo hilo lilioungua acha kupotoshaDuuu,
Naamini kama mizigo imetolewa basi watu wa salama...
Haya mamichina yamezidi...
Enzi za uhai wa marehemu.View attachment 1829184
HayaaSiyo hilo lilioungua acha kupotosha
Marcopolo mpya n gharama sana na inachelewa kurudisha faida tofaut na hizi michina zhongtong, youtong na higer , gar za kichina zinarudisha faida ndan ya mwaka mmoja tu na wamilik wanauza wananunua nyingine hiyo Kandahar iliyo waka hapo n second hand yupo ambae ilishamrudishia faida akaisukuma.Gar ni Marcopolo Andare, tazama zile za Abood ziliingia 2007 mpaka kesho mwendo mdundo
Wanatakiwa ku redesign placement ya matank yaoMarcopolo mpya n gharama sana na inachelewa kurudisha faida tofaut na hizi michina zhongtong, youtong na higer , gar za kichina zinarudisha faida ndan ya mwaka mmoja tu na wamilik wanauza wananunua nyingine hiyo Kandahar iliyo waka hapo n second hand yupo ambae ilishamrudishia faida akaisukuma.
Alaf hata hizo polo huwa zinapata sana majanga break zikijam tairi huwa zinashika Moto ila zinazo tetekea sana ni mchina kwasababu tank ya mafuta ipo karibu sana na hizo tairi za nyuma
Hivi ile Fire extinguisher huwa ni ya nini?
View attachment 1829203
hizo uki puliza yanatoka mapovu puuuuuuHivi ile Fire extinguisher huwa ni ya nini?
View attachment 1829203
Mi naona haziwezi kuhimili safar ndefu kila siku bila kufanyiwa service kubwa hiz gar za kichina zinahitaj uangalifu sana Sasa hapo unakuta wiki hata mbili kila siku ipo barabaran moshi-bukoba bila kupumzika siku nyingine turnboy anasahau hata ku adjust break kwann zising'ang'anie tairi zisiwake Moto alaf na system karibu yote ya haya magari ni umeme hivyo usipokua makini hata nyaya tu zikichubuka zinaweza kusababisha motoWanatakiwa ku redesign placement ya matank yao
Sad, inabidi waje wawe na maintanace center yao hapa wao wenyewe kama ilivyokuwa kwa Saab Scania zamani, walikuwa makini sana na magari yaoMi naona haziwezi kuhimili safar ndefu kila siku bila kufanyiwa service kubwa hiz gar za kichina zinahitaj uangalifu sana Sasa hapo unakuta wiki hata mbili kila siku ipo barabaran moshi-bukoba bila kupumzika siku nyingine turnboy anasahau hata ku adjust break kwann zising'ang'anie tairi zisiwake Moto alaf na system karibu yote ya haya magari ni umeme hivyo usipokua makini hata nyaya tu zikichubuka zinaweza kusababisha moto
Waliokufa?Mungu awatie nguvu
Tukauze scrapper sasaHatimae chuma imeisha yoteView attachment 1829359View attachment 1829360
Hiyo inafufuka ngoja ibebwe ipelekwe chuga baada ya miez 6 tu inakua piru japo ni ghrama lazma ifungiwe jiko jipyaTukauze scrapper sasa