Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
Mkuu wasamehe tu ndo akili zao zimeishia hapoKuna mijitu inaishi zama za giza. Eti kafara my foot. Huyu mjinga wanadamu wenzako wanapata ajali unahusisha na upumbavu wako na uvivu wa kufikiri.
Sibishani na "chakula".Mwanaume mzima kuitwa ubini wa kike lazima tutie shaka.Unakaa Vatican City wow halafu unazungumzia kafara????Shusha povu
Ni Ajali tu SaaMbovu.Mashabiki wa Simba hupata sana ajali sijui shida nini.
Weka maneno ya akiba.yaani simba kwa kuendekeza ushirikina hawajambo, onaaa sasaaa mashabiki maandazi na wanachama walikuwa watolewa naniii ili litim lao la ovyo ovyo lishindee..................
Yaani watu wengine wasamehe bure. Hekima zimewapita mbali, chembe za huruma hazimo kabisa akilini mwao.Kuna mijitu inaishi zama za giza. Eti kafara my foot. Huyu mjinga wanadamu wenzako wanapata ajali unahusisha na upumbavu wako na uvivu wa kufikiri.
Kwani hujui kuwa hilo litimu la simba lilianzishwa na mganga wa kienyeji mwanamke, kila jioni alikuwa akisimika bendera nyekundu juu ya likichuguu likubwa apo mtaa wa msimbazi, sasa huo ushirikina adi leo!Weka maneno ya akiba.
Mdomo wako unatoa maneno ya kunuka kama choo cha shimo!!!
Dah!huyu Amir Ba Mchawi umenikumbusha mbali sana mkuu,mzee wa mapilau huyuPrivate Mtema naye.Na kuna kiongozi wao akiitwa Ba Mchawi.
Kafara!
Poleni sana! Mungu awalinde zaidi na zaidi mrudi salama.
Watarudi saalaaama.Poleni sana! Mungu awalinde zaidi na zaidi mrudi salama.
namkumbuka jamaa mmoja alijulikana kama NGUMI JIWEEEMashabiki wa Simba hupata sana ajali sijui shida nini.
Ushabiki wa kijinga huo, basi linaonekana wazi limeligonga lori nyuma.Basi la klabu ya Simba SC, Wekundu wa Msimbazi, ambalo lililokuwa limewabeba wanachama na mashabiki wa timu hiyo kutoka Tanzania, likielekea mjini Ndola, limepata ajali baada ya kugongana na Lori maeneo ya Kapiri Mposhi nchini Zambia.
Kwa taarifa za awali haikufahamika mara moja chanzo cha ajali hiyo huku mashabiki na wanachama wakiwa wapo salama hakuna aliyeumia zaidi ya uharibifu wa gari hilo.
Simba SC itaingia uwanja wa Kalampa Kitwe nchini Zambia Jumamosi Disemba 15, 2018 kucheza na Nkana FC katika michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika.View attachment 968094
Yametimia baba 2_1Kafara ya mechi ya kesho imedunda,kesho kichapo kinawahusu Mbweha Fc