Basi la mashabiki lililoenda Lesotho lageuka la walevi na anasa. Hadi sasa hawajafika Dar toka watoke Lesotho

Hujaona zuri kwao hata moja?
Tuwaunge mkono mashujaa wetu.
Kama wamerudi salama wote ni muhimu zaidi.
 
Wacha wa tumie vyao ungekua una nunua wewe hapo sawa, lakini bili ni kwao wacha walewe tu kwan nn bhana
 
Likifika ipogoro jaman waambie wapandishe mlima waje huku mjini. Kuna kijiwe kizuri sana kinaitwa sunset, kipo gangilonga mlimani. Watanikuta tayar Nisha wawekea kreti zao za kutosha.
cc sweetlo Kaiser
Asprin, Madame B, cacico, amu
Wakitoka sunset kesho waambie kuna nyama choma ingingilanyi tumeshawaandalia mashujaa wetu washangiliaji
 

I wish na mimi ningekuwepo
 
Acha wapunguze mawazo maana kill kipigo sio POA kabisa
 
Hata wakiamua kuzunguka nchi zote za afrika mashariki poa tu hiyo ndo raha yenyewe ya ushabiki siyo uwanjani tu
 
Akili za kimasikini hizo,kwahiyo umekuja kushitaki humu ama..!?mambo mengine mlipotigi kwa mange sio kila kitu kina hadhi ya jf..hao waandishi kama wamechelewa si wapande takwa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…