Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Nov 24, 2018 #81 Wacha wale bata.
Mr. Django JF-Expert Member Joined Jul 25, 2014 Posts 1,830 Reaction score 2,428 Nov 24, 2018 #82 Tanzania tuna katabia ka kilofa wakati mwingine! How do you police adults?
S Somi JF-Expert Member Joined Feb 7, 2009 Posts 3,921 Reaction score 4,858 Nov 24, 2018 #83 Gan gfsonwin said: Likifika ipogoro jaman waambie wapandishe mlima waje huku mjini. Kuna kijiwe kizuri sana kinaitwa sunset, kipo gangilonga mlimani. Watanikuta tayar Nisha wawekea kreti zao za kutosha. cc sweetlo Kaiser Asprin, Madame B, cacico, amu Click to expand... gangilonga kwa wanyalu . Umenikumbusha mbali sana, mwaka 1994 Nikiwa mkwawa tumepita sana maeneo hayo
Gan gfsonwin said: Likifika ipogoro jaman waambie wapandishe mlima waje huku mjini. Kuna kijiwe kizuri sana kinaitwa sunset, kipo gangilonga mlimani. Watanikuta tayar Nisha wawekea kreti zao za kutosha. cc sweetlo Kaiser Asprin, Madame B, cacico, amu Click to expand... gangilonga kwa wanyalu . Umenikumbusha mbali sana, mwaka 1994 Nikiwa mkwawa tumepita sana maeneo hayo
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,203 Reaction score 37,906 Nov 24, 2018 #84 okiwira said: Gari ni ya serikali au club? Click to expand... Mali ya TFF
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,203 Reaction score 37,906 Nov 24, 2018 #85 Mi nalisubiria hapa Mikumi VETA
okiwira JF-Expert Member Joined Jul 23, 2018 Posts 2,856 Reaction score 3,003 Nov 25, 2018 #86 Imelitoa bure au hao wanaokula bata walilikodisha kwa pesa zao.? Slim5 said: Mali ya TFF Click to expand...
Imelitoa bure au hao wanaokula bata walilikodisha kwa pesa zao.? Slim5 said: Mali ya TFF Click to expand...
enjai ya kyasha JF-Expert Member Joined Apr 6, 2017 Posts 3,089 Reaction score 3,634 Nov 25, 2018 #87 Acha wana wanywe bia
mbongo_halisi JF-Expert Member Joined Apr 16, 2010 Posts 7,074 Reaction score 5,486 Nov 25, 2018 #88 Picha za walevi na anasa zao tafadhali
M Msawazo Member Joined Nov 10, 2018 Posts 46 Reaction score 141 Nov 25, 2018 #89 Naona umemtafuta mme wako akakwambia bado wako safari wakati gari lilishaingia kitaaaaambo... Muulize vizuri amepitia wapi
Naona umemtafuta mme wako akakwambia bado wako safari wakati gari lilishaingia kitaaaaambo... Muulize vizuri amepitia wapi
Mzigua90 JF-Expert Member Joined Sep 23, 2014 Posts 38,342 Reaction score 88,625 Nov 25, 2018 #90 Muda wao mafuta yao starehe zao wewe kinakuuma nini mkuu? Au tunawalipia chochote kwenye kodi zetu wanapotumia hilo gari?
Muda wao mafuta yao starehe zao wewe kinakuuma nini mkuu? Au tunawalipia chochote kwenye kodi zetu wanapotumia hilo gari?
mwisho2016 JF-Expert Member Joined Jun 27, 2016 Posts 724 Reaction score 625 Nov 25, 2018 #91 Likifika dsm tutawanyoosha konki konki konki mzee
atlas copco JF-Expert Member Joined Jun 15, 2015 Posts 8,497 Reaction score 9,728 Nov 25, 2018 #92 Kama kuna wake za watu huko kwenye hilo gari watatafunwa mpaka basi
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 24,314 Reaction score 38,919 Nov 26, 2018 #93 Siyo kosa lao aisee, stars iliwaongezea safari mara 10 kabisa,maana walikuwa na expectations kubwa sana, acha wafidie tu
Siyo kosa lao aisee, stars iliwaongezea safari mara 10 kabisa,maana walikuwa na expectations kubwa sana, acha wafidie tu