Basi la mashabiki lililoenda Lesotho lageuka la walevi na anasa. Hadi sasa hawajafika Dar toka watoke Lesotho

Basi la mashabiki lililoenda Lesotho lageuka la walevi na anasa. Hadi sasa hawajafika Dar toka watoke Lesotho

Gan
Likifika ipogoro jaman waambie wapandishe mlima waje huku mjini. Kuna kijiwe kizuri sana kinaitwa sunset, kipo gangilonga mlimani. Watanikuta tayar Nisha wawekea kreti zao za kutosha.
cc sweetlo Kaiser
Asprin, Madame B, cacico, amu
gangilonga kwa wanyalu . Umenikumbusha mbali sana, mwaka 1994 Nikiwa mkwawa tumepita sana maeneo hayo
 
Naona umemtafuta mme wako akakwambia bado wako safari wakati gari lilishaingia kitaaaaambo... Muulize vizuri amepitia wapi
 
Muda wao mafuta yao starehe zao wewe kinakuuma nini mkuu? Au tunawalipia chochote kwenye kodi zetu wanapotumia hilo gari?
 
Kama kuna wake za watu huko kwenye hilo gari watatafunwa mpaka basi
 
Siyo kosa lao aisee, stars iliwaongezea safari mara 10 kabisa,maana walikuwa na expectations kubwa sana, acha wafidie tu
 
Back
Top Bottom