eddy brown
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 414
- 314
Basi lilowabeba wachezaji wa timu ya Ndanda kuchele limepata ajali maeneo ya Nzega ndogo mkoani Tabora.
Inasemekana wachezaji watono wamejruhiwa na hakuna alopoteza maisha, ila basi haliwezi endelea na safari.
Tuwape pole wenzetu.
Inasemekana wachezaji watono wamejruhiwa na hakuna alopoteza maisha, ila basi haliwezi endelea na safari.
Tuwape pole wenzetu.