Basi la Shabiby lilipata ajali jana Novemba 18, 2024 Tunduma

Basi la Shabiby lilipata ajali jana Novemba 18, 2024 Tunduma

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Basi la Kampuni ya Shabiby inayofanya safari Sumbawanga-Dodoma ilipata ajali eneo la mizani ya Nkangamo Tunduma.

Kwa inavyoonekana na ni kama lilianguka lenyewe.

Nitaupxate kadri taarifa zitakavyopatikana Wakuu.

Kuna mpuuzi mmoja Atakuja atasema ni mwisho wa mwaka matukio ni Mengi. Hapa tunaacha waajibisha wahusika panapotokea uzembe tunaleta Imani dudumanzi kuwa ni mwisho wa mwaka..

Tanzania tuna kauzembe ka kuwajibisha wahusika sana

Pole kwa majeruhi na iwe bahati pasiwe na kifo
 
Basi la Kampuni ya Shabiby inayofanya safari Sumbawanga-Dodoma ilipata ajali eneo la mizani ya Nkangamo Tunduma.

Kwa inavyoonekana na ni kama lilianguka lenyewe.

View attachment 3155913
Kupanda basi ambalo ndio linazindua route Mpya ni hatari sana maana madereva wanakuwa hawana uzoefu na Barabara.

Walau like barabarani mwezi Hadi mmja ndio upande.

Hao mabwana wameanza safari hata mwezi haujapita wanapata ajali wakati Barabara ya Sumbawanga -Tunduma ni Moja ya Barabara salama zaidi hapa Tanzania,kusikia ajali hii ndio ya kwanza naisikia.
 
Back
Top Bottom