Pdidy JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 57,951 Reaction score 32,619 Jan 5, 2010 #1 Basi la shabiby limenusurika kutumbikia mto ruaha baada ya kupata tyre bust huko morogoro kwa habari zaidi nunua nipashe kesho majeruhi wachache wako hospital
Basi la shabiby limenusurika kutumbikia mto ruaha baada ya kupata tyre bust huko morogoro kwa habari zaidi nunua nipashe kesho majeruhi wachache wako hospital
Pdidy JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 57,951 Reaction score 32,619 Jan 5, 2010 Thread starter #2 Shabiby bus service
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 54,762 Reaction score 59,204 Jan 5, 2010 #3 sasa ni tangazo au.kama nipo kijijini nitanunua wapi hio nipashe?
Shaycas JF-Expert Member Joined Feb 13, 2009 Posts 906 Reaction score 112 Jan 5, 2010 #4 Acha kuandika kiudaku habari zinazohusu mali na maisha ya watu.unasema latumbukia mtoni mara lanusurika kutumbukia. Nielewe lipi?
Acha kuandika kiudaku habari zinazohusu mali na maisha ya watu.unasema latumbukia mtoni mara lanusurika kutumbukia. Nielewe lipi?
Papizo JF-Expert Member Joined Feb 24, 2008 Posts 4,951 Reaction score 1,446 Jan 5, 2010 #5 Shaycas said: Acha kuandika kiudaku habari zinazohusu mali na maisha ya watu.unasema latumbukia mtoni mara lanusurika kutumbukia. Nielewe lipi? Click to expand... Hope alikuwa hajui anachokiandika!!
Shaycas said: Acha kuandika kiudaku habari zinazohusu mali na maisha ya watu.unasema latumbukia mtoni mara lanusurika kutumbukia. Nielewe lipi? Click to expand... Hope alikuwa hajui anachokiandika!!