Basi la shabiy latumbukia korongo la mto ruaha

Basi la shabiy latumbukia korongo la mto ruaha

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Basi la shabiby limenusurika kutumbikia mto ruaha baada ya kupata tyre bust huko morogoro
kwa habari zaidi
nunua nipashe kesho

majeruhi wachache wako hospital
 
Shabiby bus service
 
sasa ni tangazo au.kama nipo kijijini nitanunua wapi hio nipashe?
 
Acha kuandika kiudaku habari zinazohusu mali na maisha ya watu.unasema latumbukia mtoni mara lanusurika kutumbukia.
Nielewe lipi?
 
Acha kuandika kiudaku habari zinazohusu mali na maisha ya watu.unasema latumbukia mtoni mara lanusurika kutumbukia.
Nielewe lipi?

Hope alikuwa hajui anachokiandika!!
 
Back
Top Bottom