Mawematatu
JF-Expert Member
- Apr 8, 2021
- 468
- 608
Nimeniuma Sana....
Nikiwa katika pitapita jijin DSM nikawa bunju saa nne usiku nikawa katikakati ya vibaka bunju jjn DSM maeneo ya bunju B dereva pamoja na kondakta bas linaloonekana kuwa Tahiliso kuniamuru nishuke chini
Nikiwa nahitaji kufika ubungo ama hata mbezi stend ya magufuli Hawa jamaa bila hata chembe ya ubinadam kusimamisha basi la abiria ili niteremke...
Na utu uzima wangu nilitokwa na machozi....walinitamkia "tumeshafika mjini hatupakii abiria...nilimia Sana....kwamba ni hawa Hawa hutuitia sisi abiria tisafiri na mabasi yao......" Lkn anakuacha bila kudadisi confidence yang ya kupakia bas lao....
Nchi hii Ina watu wana roho mbaya sana

Last edited: