From Sir With Love
JF-Expert Member
- Sep 13, 2010
- 2,076
- 3,813
Daudi Mchambuzi: muonee jamaa huruma. Ameshindwa kuwasilisha ujumbe wake ili watu wamuelewe.It seems konda kuna kitu kibaya zaidi amemfanyia bwana Kilaba hadi amejifungia ndani amelala na tumbo analia tu.