Basi la Tahiliso kunikataa na makondakta na dereva bila hata ya ubidamu kuniamuru

Abiria anapaswa kujua haki na wajibu wake.

Yani labda wanaoteaga watu wakuwafanyia hivyo vitimbi yaani sipati picha !

Yani wanaanzaje kushusha kwenye basi kwa mfano?

Je umehatarisha usalama wao na abiria wenzio au imekuwaje?

Funguka hapa tujadili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…