Basi leo nimeumbuka ticha mie..!

CK Allan

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
2,781
Reaction score
6,139
Basi kama mjuavyo mimi ni mgeni humu jf kwahiyo niombe radhi kama hii post haitakuwa mahali pake.,,
Bas after college nikaamua kutafuta tempo wakati nikisubiri serikali yangu sikivu. Mungu mkubwa nikapata shule moja kubwa tu hapa dar bas si unajua mwisho wa mwezi umekaribia? bas walimu full kupiga mzigo, basi leo after break time ticha nikaenda toilet faster ili niwah kipind, bas ile naingia class naanza kupiga pindi nikastuka mbona upepo unapuliza uku chini? halafu nikaona mbona watoto wamekuwa wapole kuliko siku zote? hata wale wasinziaji leo wako active? nikapeleka mkono downward loh! kumbe sikufunga zipuuu! basi sikujua nilitokaje mle clas,,
 
hio shule mchanganyiko,boys au girls?kama ni girls bora tu uresign maana utakua topic
 

pole yako!
 
unafundisha somo gani?,ila usiogope fanya kama vile hujakosea piga pindi
 
no wonder why students fail alot nowadays
 
shule ni mchanganyiko wasichana na wavulana halafu ni english medium nafundisha kiswahili grade v-vi hapa sipati picha keshoo!
 

Sasa kwani hiyo ishu..!? mie zilishanitokea mara kibaao..
 
mwenyewe ilishanitokea bt mara baada ya kutoka kupiga pind ndo nashituka cjafunga zip sema tu nilikuwa nimevaa jeans xo zp haikuwa waz kivle kama vile imefungwa kumbe wap!
 
Baba v kumbe nawe ticha good..

Mkuu mie ticha mkongwe mwenye khali ngumu na majanga kibaao. Hawa walimu vijana ndo wanapata taabu kwa vitu kama hivi. Imenitokea day moja asubuhi subuhi nimepiga kiporo cha wali plus maharage na chai ya rangi, ile napiga pindi sijui hata ilikuaje nikajikuta "nimechinja mbuzi" kwa sauti ya juu mbele ya darasa sikupata taabu nikaendelea na pindi kwa mbwembwe kibaaao...
 
vitu vya kawaida sana, we ukiingia darasani usionyeshe kama jana kuna jambo lilijiri, endelea kufundisha kama kawaida. mim niliwahi kubiringika kwenye kangazi kiasi kwamba kufika chini mambo hadharani na wanafunzi wenyewe ndio walikuja kunisitiri na mim nikakausha hadi leo sijawahi kusikia tena
 
Mimi49, umeona vituko vya bongo....nimejizuia kucheka maana niko kwenye gari la abiria
 
Hao ndio walimu wa watoto wetu, ufaulu u,mashakani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…