platozoom
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 9,424
- 11,320
Acha hizo bhana, nimem miss shem wangu ujue, afu kumbe unakifahamu kimondo cha Mbozi, mara ya mwisho nimeenda pale mwaka 2007.
Kwa nini nisikifahamu kimondo wakati nimeisoma kwenye Geography ya darasa nne miaka ya tisini huko (by the way nafikiri ulikuwa hujaanza hata darasa la kwanza!!).
Halafu kuhusu mke wangu, huyo kaa naye mbali nasikia sasa hivi wewe ni Mwenyekiti wa kuvunja ndoa za watu chitchat