Basi leo nimeumbuka ticha mie..!

Basi leo nimeumbuka ticha mie..!

Acha hizo bhana, nimem miss shem wangu ujue, afu kumbe unakifahamu kimondo cha Mbozi, mara ya mwisho nimeenda pale mwaka 2007.

Kwa nini nisikifahamu kimondo wakati nimeisoma kwenye Geography ya darasa nne miaka ya tisini huko (by the way nafikiri ulikuwa hujaanza hata darasa la kwanza!!).

Halafu kuhusu mke wangu, huyo kaa naye mbali nasikia sasa hivi wewe ni Mwenyekiti wa kuvunja ndoa za watu chitchat
 
Sasa kwani hiyo ishu..!? mie zilishanitokea mara kibaao..

Mbona kawaida after lunch maofisini naonaga wanaume weng hawafungi hasa toka zipu zime replace vifungo. na kwenye saa 4 usiku karibu kila anaeenda uani akirudi pako wazi.
 
Hahahaha, inafanana na kisa kimoja hivi mwalimu alikuwa amesimamisha halafu ndani hajavaa hata boxer kavaa suruali ya kitambaa tu huku kachomekea sasa yule mwalimu kuona hali inazidi kuwa mbaya akawaambia wanafunzi nyumaa geukaa wanafunzi wakageukaa mwalimu harakaa kachukua mashine yake kaielekeza juu halafu kaibana na mkanda huku kachomekea kumbe kaibana vibaya ikawa imetokea chini ya kifungo cha shati mwalimu akawaambia wanafunzi mbeleegeukaaa wanafunzi wakawa wanacheka mwalimu akawa anashangaa wanacheka nini wanafunzi kujiangalia anaiona imetokezaa
 
kawaidaa tu ktk mfumo wa maisha y bnadam,smtm kuaibika,smtm shida na mitihan kibao,raha na dhihaka,ungefunga zipu,then ungetumia autocratic method of teaching,
 
Basi kama mjuavyo mimi ni mgeni humu jf kwahiyo niombe radhi kama hii post haitakuwa mahali pake.,,
Bas after college nikaamua kutafuta tempo wakati nikisubiri serikali yangu sikivu. Mungu mkubwa nikapata shule moja kubwa tu hapa dar bas si unajua mwisho wa mwezi umekaribia? bas walimu full kupiga mzigo, basi leo after break time ticha nikaenda toilet faster ili niwah kipind, bas ile naingia class naanza kupiga pindi nikastuka mbona upepo unapuliza uku chini? halafu nikaona mbona watoto wamekuwa wapole kuliko siku zote? hata wale wasinziaji leo wako active? nikapeleka mkono downward loh! kumbe sikufunga zipuuu! basi sikujua nilitokaje mle clas,,

Kwani wameiona??? basi kama wameiona huvaagi hata bukta wala boxer duh hatari,
 
Back
Top Bottom