Basi sawa

Basi sawa

Kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo wa kile acho kiamini! Wew ni kama nani wakunishurutisha nikae kimya?
Sijakushurutisha isipokuwa tuliowengi tumeona ukomo wako wakufikir tumeona na kiasi kikubwa cha ujinga wako.
mi nimekushauli tu kama hautaki OK chukua time kaka jambazi.
 
Ok!
 
Kuna yule jamaa aliyesema hamna media bongo inayo weza kumleta jay z sijui yupo wapi
hiyo ni habari ya uongo na ilikanushwa kitambo na hata tigo waliikanusha
 
Dhaaa kama mond hayupo ata jayz hakija siende
 
Huu ni utani, Bil5? kwa usawa upi..?
Kwanza hii ni biashara, wanategemea kupata faida hawa waandaji tigo&clauds, sasa kwanza kiingilio chenyewe 20000/= nina uhakika kuwa kwa hicho kiingilio peke yake hawatapata mil200, je watafanya mauzo ya nini ili kufidia hayo mabilion watakayompa kwa siku hiyo na kutengeneza faida?
Tanzania iliwaleta Brazili na kuwalipa bilion kama 3 hivi lakini wakalamba hasara licha ya kuwa kiingilio cha chini kilikuwa kikubwa zaidi ya hicho cha fiesta na uwanjani walienda idadi maradufu ambayo huwezi kulinganisha na wahudhuriaji wa fiesta!!
 
1477830858140.jpg
 
Nimeshangaa tu hapo kwenye mbadala ya diamond,mi nilikua naamini au najua kua mbadala wa diamond ni ally kiba na ally kiba ni diamond!
 
Back
Top Bottom