Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Umejibu kwa usahihi mkuu,Roho wa Mungu smekuongoza sio Wewe!Sio mtaalam sana wa BIBLIA ila nifafaunue kidogo, yusufu,alipofariki,akiwa na miaka mia na kumi,wakamuwekea dawa na kumtia ktk sanduku, hiyo dawa ni ya kuufanya mwili usioze,usinuke au usiharibike,manake hawa waisrael misri ilikuwa ni ardhi ya ugenini na kwa wakati huo na hata sasa hii bado ipo,mgeni akifa basi atahifadhiwa kisha kusafirishwa hadi ktk chimbuko lake huko ndiko huzikwa,hivyo mifupa ya akina ISSACK, JACOB,JOSEPH ilihifadhiwa na wakati wa ile safari ya wana wa israel kwenda kaanani miili au tuseme mifupa ya hawa watu ilibebwa ikazikiwe kaanani. sijajibu ki theolojia nimejibu kiuelewa tu ndugu zangu.
Umejibu vyema,malafyale.Be blessed.Sio mtaalam sana wa BIBLIA ila nifafaunue kidogo, yusufu,alipofariki,akiwa na miaka mia na kumi,wakamuwekea dawa na kumtia ktk sanduku, hiyo dawa ni ya kuufanya mwili usioze,usinuke au usiharibike,manake hawa waisrael misri ilikuwa ni ardhi ya ugenini na kwa wakati huo na hata sasa hii bado ipo,mgeni akifa basi atahifadhiwa kisha kusafirishwa hadi ktk chimbuko lake huko ndiko huzikwa,hivyo mifupa ya akina ISSACK, JACOB,JOSEPH ilihifadhiwa na wakati wa ile safari ya wana wa israel kwenda kaanani miili au tuseme mifupa ya hawa watu ilibebwa ikazikiwe kaanani. sijajibu ki theolojia nimejibu kiuelewa tu ndugu zangu.
ahsante sana mkuu.Umejibu kwa usahihi mkuu,Roho wa Mungu smekuongoza sio Wewe!
ahsante sana mkuu.Umejibu kwa usahihi mkuu,Roho wa Mungu smekuongoza sio Wewe!
ahsante sanaUmejibu vyema,malafyale.Be blessed.
Hamna madhara,ila ni kumbukumbu nzuri tuu!Je hii inatuambia ya kuwa ni muhimu mtu juzikwa kwenye chimbuko lake na SI sehemu yoyote? Yapi ni madhara ya mtu kuzikwa sehemu ambapo SI chimbuko lake?
Baadae Yusuph aliuchukua mwili na kuondoka nao akauzike,wanaojua biblia wanieleze kidogo hapa,ni baada ya kifo Cha YESUSio mtaalam sana wa BIBLIA ila nifafaunue kidogo, yusufu,alipofariki,akiwa na miaka mia na kumi,wakamuwekea dawa na kumtia ktk sanduku, hiyo dawa ni ya kuufanya mwili usioze,usinuke au usiharibike,manake hawa waisrael misri ilikuwa ni ardhi ya ugenini na kwa wakati huo na hata sasa hii bado ipo,mgeni akifa basi atahifadhiwa kisha kusafirishwa hadi ktk chimbuko lake huko ndiko huzikwa,hivyo mifupa ya akina ISSACK, JACOB,JOSEPH ilihifadhiwa na wakati wa ile safari ya wana wa israel kwenda kaanani miili au tuseme mifupa ya hawa watu ilibebwa ikazikiwe kaanani. sijajibu ki theolojia nimejibu kiuelewa tu ndugu zangu.
leta kifungu hicho cha BIBLE tuzame tusome tuje na majibuBaadae Yusuph aliuchukua mwili na kuondoka nao akauzike,wanaojua biblia wanieleze kidogo hapa,ni baada ya kifo Cha YESU
Wadau hamjamboni nyote?
Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia
Genesis 50:26
[26]So Joseph died, being an hundred and ten years old: and they embalmed him, and he was put in a (Coffin) in egypt.
Basi Yusufu akafa, mwenye miaka mia na kumi; wakampaka dawa, wakamtia katika (Sanduku), huko misri.
Tumsifu Yesu Kristo
"Jesus said to her, 'I am the resurrection and the life. The one who believes in me will live, even though they die; and whoever lives by believing in me will never die.'"
"We were therefore buried with him through baptism into death in order that, just as Christ was raised from the dead through the glory of the Father, we too may live a new life."
"See, I am doing a new thing! Now it springs up; do you not perceive it? I am making a way in the wilderness and streams in the wasteland."
"For his anger lasts only a moment, but his favor lasts a lifetime; weeping may stay for the night, but rejoicing comes in the morning."
"Therefore, if anyone is in Christ, the new creation has come: The old has gone, the new is here!"
tusipangiane cha kufanya mkuu.Wachina wanajadili namna gani ya kuleta 5G kwenye ulimwengu wa teknolojia.
Halafu ninyi bado mnajadili hizi hekaya za Alfu lela ulela.
Aliyeleta Biblia na Quran barani Afrika alijua kupumbaza akili za waafrika.
Mijitu kutwa kucha kubishana hekaya za vitabuni.
Halafu hata huduma za msingi kama maji na umeme bado ni shida.
Mijitu kila siku ni kubishana Yesu, Mungu, Allah, Mudi, Biblia, Quran.
Miaka nenda rudi.
Isack alifariki akiwa Canaan na alizikwa Hebron. Hakufa akiwa ugeninindiko huzikwa,hivyo mifupa ya akina ISSACK, JACOB,JOSEPH ilihifadhiwa na wakati wa ile safari ya wana wa israel kwenda kaanan
Kuna sehemu umepangiwa cha kufanya?tusipangiane cha kufanya mkuu.
unataka tujadili mambo ya umeme,elimu hutaki tujadili imani zetu. Hapo unaona haujatupangiaKuna sehemu umepangiwa cha kufanya?
Wadau hamjamboni nyote?
Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia
Genesis 50:26
[26]So Joseph died, being an hundred and ten years old: and they embalmed him, and he was put in a (Coffin) in egypt.
Basi Yusufu akafa, mwenye miaka mia na kumi; wakampaka dawa, wakamtia katika (Sanduku), huko misri.
Tumsifu Yesu Kristo