Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Hakuna sehemu nimetaka mjadili kuhusu umeme na maji.unataka tujadili mambo ya umeme,elimu hutaki tujadili imani zetu. Hapo unaona haujatupangia
Nilisema wachina wanajadili mambo ya teknolojia halafu ninyi bado mnajadili hizo hekaya za Alfu lela ulela.
Hakuna neno "kutaka" hapo.
Hukatazwi kuwa na imani yako.
Hukatazwi kujadili imani yako.
Ila ukiileta hiyo imani yako hapa kwenye public open forum, itajadiliwa kwa namna zote upendavyo na usivyo penda.