Basi Yusufu akafa, mwenye miaka mia na kumi; wakampaka dawa, wakamtia katika sanduku, huko Misri!

unataka tujadili mambo ya umeme,elimu hutaki tujadili imani zetu. Hapo unaona haujatupangia
Hakuna sehemu nimetaka mjadili kuhusu umeme na maji.

Nilisema wachina wanajadili mambo ya teknolojia halafu ninyi bado mnajadili hizo hekaya za Alfu lela ulela.

Hakuna neno "kutaka" hapo.

Hukatazwi kuwa na imani yako.

Hukatazwi kujadili imani yako.

Ila ukiileta hiyo imani yako hapa kwenye public open forum, itajadiliwa kwa namna zote upendavyo na usivyo penda.
 
sawa mkuu
 
Je hii inatuambia ya kuwa ni muhimu mtu juzikwa kwenye chimbuko lake na SI sehemu yoyote? Yapi ni madhara ya mtu kuzikwa sehemu ambapo SI chimbuko lake?
Kwa miaka mia nne ya hii hekaya walikuwa Misri kwa hiyo vizazi vyote vilivyo kufa huko unadhani kulikuwa na misafara ya mazishi toka Misri kwenda huko wanako kuota kwao?.
 
Umeelewa vyema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…