Nataka niende Kahama.
(1) Natamani kujua, kwa mabasi yanayofanya safari zake Dar - Kahama, ni basi gani zuri? (Yaani sio bovu) Maana kuna kampuni zinalalamikiwa mabasi yao mabovu hasa kwa njia zetu tulizozizoea za Dar - Ruvuma, sasa kwa Dar - Kahama kampuni gani ina mabasi mazuri (ntashkuru nikijua na nauli yake pia)?
(2) Ntashukuru pia kama kuna mtu atanijibu swali hili la pili: naweza kupata basi la usiku kutoka Dar - Kahama nifike kule asubuhi/mchana?
Natanguliza shukrani za dhati kwa yeyote atakaejitolea kunijibu.