Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
Panda frester inayoishia kahama au ukitaka za usiku panda gari za magazeti Zipo pale shekilango na ubungo sheli au panda gari za IT
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda Magufuli Bus terminal mida ya jioni.Gari za usiku ili ufike asubuhi hazipo.
Panda KISBO au FRESTER respectively ni gari nzuri tu, nauli 50,000/=
Mbezi kuna ofisi, nadhani Shekilango piaKisbo nayo office wapi mkuu? Kwa Dar
usiliasi wao na safari ndio naupendea, hawana muda wa kupoteza hovyo.Saa12 inatoka huko dsm ila khm saa3 usiku au saa2.
HAWA JAMAA WAPO SERIOUS SANA
Kuna usafiri wa nini basi au vigari gani vya usiku? Huwa ninapenda kusafiri usiku pia. Nikiwa naenda Mbeya sisafiri mchana, magari ya usiku kibao.Nenda Magufuli Bus terminal mida ya jioni.
Pokea update hiyo
Ingawaje siyo rasmi kwa mujibu wa Latra