Asante sana ndugu yangu.Sa hivi kuna abood luxury ina choo ndan, inaenda musoma so panda hiyo uishie tinde upande gar za kaham
Nashkuru sana kwa mchango wako.Kula kitu inaitwa FRESTER
KISBO inatoka Dar saa ngapi na inafika stand Kahama (kwa makadirio) saa ngapi ?kisbo baba wa njia.
unafika hujachoka na kwa wakati. panda ile luxury, Utanishukuru.
Frester ya bukoba huwa inafika kahama sanne usikuNashkuru sana kwa mchango wako.
1) FRESTER ina-cost bei gani kutoka Dar kwenda Kahama ?
2) Kwa uzoefu wako huwa inafila stand Kahama saa ngapi ikitoka Dar saa 12
Saa12 inatoka huko dsm ila khm saa3 usiku au saa2.KISBO inatoka Dar saa ngapi na inafika stand Kahama (kwa makadirio) saa ngapi ?
Nauli yake (kwa makadirio) ni ngapi ?
Panda jioni 1800hrs basi SMH
Utafika Dodoma usiku mwingi
Asubuhi utapanda SACTO ya Kahama zinazoanzia Dodoma.
Mapema tu utaingia Kahama.
Gari za usiku ili ufike asubuhi hazipo.Nataka niende Kahama.
(1) Natamani kujua, kwa mabasi yanayofanya safari zake Dar - Kahama, ni basi gani zuri? (Yaani sio bovu) Maana kuna kampuni zinalalamikiwa mabasi yao mabovu hasa kwa njia zetu tulizozizoea za Dar - Ruvuma, sasa kwa Dar - Kahama kampuni gani ina mabasi mazuri (ntashkuru nikijua na nauli yake pia)?
(2) Ntashukuru pia kama kuna mtu atanijibu swali hili la pili: naweza kupata basi la usiku kutoka Dar - Kahama nifike kule asubuhi/mchana?
Natanguliza shukrani za dhati kwa yeyote atakaejitolea kunijibu.
Office zake ziko wapi hizi kwa DarKula kitu inaitwa FRESTER
Kisbo nayo office wapi mkuu? Kwa Darkisbo baba wa njia.
unafika hujachoka na kwa wakati. panda ile luxury, Utanishukuru.
Nenda mbezi stand.Nataka niende Kahama.
(1) Natamani kujua, kwa mabasi yanayofanya safari zake Dar - Kahama, ni basi gani zuri? (Yaani sio bovu) Maana kuna kampuni zinalalamikiwa mabasi yao mabovu hasa kwa njia zetu tulizozizoea za Dar - Ruvuma, sasa kwa Dar - Kahama kampuni gani ina mabasi mazuri (ntashkuru nikijua na nauli yake pia)?
(2) Ntashukuru pia kama kuna mtu atanijibu swali hili la pili: naweza kupata basi la usiku kutoka Dar - Kahama nifike kule asubuhi/mchana?
Natanguliza shukrani za dhati kwa yeyote atakaejitolea kunijibu.
Asante sana boss!!!Nenda mbezi stand.
Upande wa gari ndogo za masafa utapata IT Safi kabisaa wewe tu utachagua.
Ukiona haitoshi unaweza chukua fuso au Kosta iliyonyooka kabisa.
Nauli
34-45
Ukitoka usiku saa 2 ahsubuhi upo kahama.
Jioni unageuza zako dsm