Basic math test that most people get wrong

Basic math test that most people get wrong

Umezingatia swali lililoulizwa? Umeambiwa katengeneza faida kiasi Gani kutokana na huyo mbuzi...
Hakusema kuwa hela alizonazo ni usd 60 pekee alikuwa na fedha nyingine ndio maana akaweza kuongeza na kufikisha 80.

Lakini hata tuki assume alikuwa na usd 60 pekee, akapata faida ikawa 70, angeweza tena kumnunua kwa usd 80 kwa njia ya mkopo, angemlipa muuzaji dola 70 kwanza, kisha anaenda kumuuza huyo mbuzi kwa dola 90 anaenda kumalizia kulipa hilo deni la dola 10 lililobaki, kisha anabaki na dola 80.

So unaweza kuona kama alianza na mtaji wa dola 60 ila sasa ana dola 80.
 
hakusema kuwa hela alizonazo ni usd 60 pekee aliuwa na fedha nyingine ndio maana akaweza kuongeza na kufikisha 80

Lakini hata tuki assume alikuwa na usd 60 pekee, akapata faida ikawa 70, angeweza tena kumnunua kwa usd 80 kwa njia ya mkopo, angemlipa muuzaji dola 70 kwanza, kisha anaenda kumuuza huyo mbuzi kwa dola 90 anaenda kumalizia kulipa hilo deni la dola 10 lililobaki, kisha anabaki na dola 80

So unaweza kuona kama alianza na mtaji wa dola 60 ila sasa ana dola 80

Bwanawee, basi swali Lina ukakasi. Tumezingatia hapo kwamba akianza na USD 60. Na wakati anatakiwa kumnunua tena mbuzi alikua na USD 70 wakati anatakiwa atoe USD 90. Mambo ya mkopo au alikua na pesa ya ziada hayapo.

Kama ni hivyo Kila mmoja anaweza kuwaza atakavyo kwenye hiyo biashara.

Kwanza hawajatuambia huyo mbuzi alimuuza siku hiyo hiyo au alimlisha. Alimsafirisha kutoka alipomnunulia Hadi kukuuza? Hapo utaona swali lenyewe maelezo yamepelea.
 
Biashara kichaa hiyo. Ni sawa na kusukuma ukuta.
 
Bwanawee, basi swali Lina ukakasi. Tumezingatia hapo kwamba akianza na USD 60. Na wakati anatakiwa kumnunua tena mbuzi alikua na USD 70 wakati anatakiwa atoe USD 90. Mambo ya mkopo au alikua na pesa ya ziada hayapo.

Kama ni hivyo Kila mmoja anaweza kuwaza atakavyo kwenye hiyo biashara.

Kwanza hawajatuambia huyo mbuzi alimuuza siku hiyo hiyo au alimlisha. Alimsafirisha kutoka alipomnunulia Hadi kukuuza? Hapo utaona swali lenyewe maelezo yamepelea.
🤣🤣🤣
Sasa kama hizo expense za ziada hazijawekwa inamaabisha hazipo

Halafu kwenye biashara ukiambiwa mtu 'kanunua kitu' haimaanishi katoa cash

Inawezekana hata hakuwa na hiyo dola 60, mwanzo alikuwa na zero

Mbuzi akawa anauzwa kwa dola 60 yeye akanunua kwa mkopo kisha akamuuza kwa dola 70 akalipa mkopo wake
Akamnunua tena kwa mkopo wa dola 80 kisha akaenda kumuuza kwa dola 90 na kurudisha mkopo wake

Huku mtaani kuna Biashara nyingi zinafanyika kwa mtindo huo
 
Sasa hauoni kwamba Kwa mujibu wa maelezo ya swali tayari Kuna mushkeli? Imekuja vizuri sana, tufanye alikopa au alichukua Kwa Mali kauli hiyo USD 10 ya kuongeza ifike USD 80, mwisho wa siku si aliirudisha? Faida haiwezi kuwa USD 20.
 
Watu waliosoma project apraisal hawawezi kukosa hili swali tena ukitaka tukupe na faind when it is discounted and non discounted
 
Na hapo ndio watu wa mtaani wanapotengeneza pesa na kufanikiwa kwenye biashara kuliko wazee wa accounts.

Hiyo formula au hesabu haisemi alipata wapi USD 10 ya kuongeza kwenye USD 70 ili ifike USD 80 ya kumnunua tena huyo mbuzi.

Ikumbukwe tunaongelea faida aliyoipata Kwa muamala wa huyo mbuzi tu.
Kwani swali limesema alipata wapi the 1st 60 usd
 
It is simple, He made 20$

Why;

$10 the first time, $70-$60=$10, and
$10 the second time, $90-$80=$10, total of $20.

JUSTIFICATION:
Assume he started out with $100 in his pocket, at the end of the two transactions he'll have $120 in his pocket.
 
Jibu ni 20$ mbona simple tu
Wanaobishana kaleteni ugali tule na mbuzi wa dollar hapa.
 
Sasa hauoni kwamba Kwa mujibu wa maelezo ya swali tayari Kuna mushkeli? Imekuja vizuri sana, tufanye alikopa au alichukua Kwa Mali kauli hiyo USD 10 ya kuongeza ifike USD 80, mwisho wa siku si aliirudisha? Faida haiwezi kuwa USD 20.
Itakua ngapi?
 
Jamaa ni bogus🙉 kabisa anafanya biashara bila hesabu ya ushuru wa mfugo.
 
Statement of Gain/Loss.

Revenues/Income.

Sales (1) 70$
Sales (2) 90$

Total income= 160$

Less; Expenditures

Purchases (1) 60$
Purchases (2) 80$

Total Expenditures= 140$

Then; Gain=incoms-expenditures.

Gains=160$-140$

Gains=20$.
 
jamaa aliuziwa gunia ambalo halina mbuzi
 
Back
Top Bottom