Itakuwa yupo Marekani si unaona hata lugha iliyotumika kununua na kuuzaFaida ya dola 10.
Ila huyu mbuzi kwanini auzwe kwa dola?
Hakusema kuwa hela alizonazo ni usd 60 pekee alikuwa na fedha nyingine ndio maana akaweza kuongeza na kufikisha 80.Umezingatia swali lililoulizwa? Umeambiwa katengeneza faida kiasi Gani kutokana na huyo mbuzi...
hakusema kuwa hela alizonazo ni usd 60 pekee aliuwa na fedha nyingine ndio maana akaweza kuongeza na kufikisha 80
Lakini hata tuki assume alikuwa na usd 60 pekee, akapata faida ikawa 70, angeweza tena kumnunua kwa usd 80 kwa njia ya mkopo, angemlipa muuzaji dola 70 kwanza, kisha anaenda kumuuza huyo mbuzi kwa dola 90 anaenda kumalizia kulipa hilo deni la dola 10 lililobaki, kisha anabaki na dola 80
So unaweza kuona kama alianza na mtaji wa dola 60 ila sasa ana dola 80
🤣🤣🤣Bwanawee, basi swali Lina ukakasi. Tumezingatia hapo kwamba akianza na USD 60. Na wakati anatakiwa kumnunua tena mbuzi alikua na USD 70 wakati anatakiwa atoe USD 90. Mambo ya mkopo au alikua na pesa ya ziada hayapo.
Kama ni hivyo Kila mmoja anaweza kuwaza atakavyo kwenye hiyo biashara.
Kwanza hawajatuambia huyo mbuzi alimuuza siku hiyo hiyo au alimlisha. Alimsafirisha kutoka alipomnunulia Hadi kukuuza? Hapo utaona swali lenyewe maelezo yamepelea.
🤣🤣🤣
Sasa kama hizo expense za ziada hazijawekwa inamaabisha hazipo
Halafu kwenye biashara ukiambiwa mtu 'kanunua kitu' haimaanishi katoa cash
Inawezekana hata hakuwa na hiyo dola 60, mwanzo alikuwa na zero
Mbuzi akawa anauzwa kwa dola 60 yeye akanunua kwa mkopo kisha akamuuza kwa dola 70 akalipa mkopo wake
Akamnunua tena kwa mkopo wa dola 80 kisha akaenda kumuuza kwa dola 90 na kurudisha mkopo wake
Huku mtaani kuna Biashara nyingi zinafanyika kwa mtindo huo
Kwani swali limesema alipata wapi the 1st 60 usdNa hapo ndio watu wa mtaani wanapotengeneza pesa na kufanikiwa kwenye biashara kuliko wazee wa accounts.
Hiyo formula au hesabu haisemi alipata wapi USD 10 ya kuongeza kwenye USD 70 ili ifike USD 80 ya kumnunua tena huyo mbuzi.
Ikumbukwe tunaongelea faida aliyoipata Kwa muamala wa huyo mbuzi tu.
Itakua ngapi?Sasa hauoni kwamba Kwa mujibu wa maelezo ya swali tayari Kuna mushkeli? Imekuja vizuri sana, tufanye alikopa au alichukua Kwa Mali kauli hiyo USD 10 ya kuongeza ifike USD 80, mwisho wa siku si aliirudisha? Faida haiwezi kuwa USD 20.
Kwani swali limesema alipata wapi the 1st 60 usd
Ndio endeleeni kutoa majibu ya swali sasaItakua ngapi?
Alitoa wapi $10 ya second round1st round
Buying price $60
Selling price $70
Profit= $10
2nd round
Buying price $80
Selling price $90
Profit =$10
Total Profit= $20