Basic Mathematics and Advanced Mathematics examination series

Basic Mathematics and Advanced Mathematics examination series

itakiamo

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2014
Posts
893
Reaction score
1,739
Hello ndugu zangu , katka kurudisha fadhila kwa jamii nimepata wazo LA kupost basic mathematics series na advanced mathematics series kila siku ya jumamosi.
Wanafunzi katka vidato husika endapo watafanya mitihani hiyo ni vyema wanitumie mitihani yao PM kwa mfumo was PDF na nitawawasahihishia, kesho jumamosi nitapost mtihani kwa wiki ya kwanza
Huduma hii ni bure kabisa.
Pia mitihani ya Advanced mathematics nitaanza kuipost March mwaka huu,
 
Hello ndugu zangu , katka kurudisha fadhila kwa jamii nimepata wazo LA kupost basic mathematics series na advanced mathematical series kila siku ya jumamosi.
Wanafunzi katka vidato husika endapo watafanya mitihani hiyo ni vyema wanitumie mitihani yao PM kwa mfumo was PDF na nitawawasahihishia, kesho jumamosi nitapost mtihani kwa wiki ya kwanza
Huduma hii ni bure kabisa.
Pia mitihani ya Advanced mathematics nitaanza kuipost March mwaka huu,
Hongera sana. Wadau watasubiri, interested na advanced maana kitambo sana.
 
Mkuu hiyo mitihani utakuwa unatunga mwenyewe na pia unauwakika itakuwa ndani ya mtahala ? kama ni hivi ni vizuri zaidi , hongera kwa hilo.
 
Mkuu hiyo mitihani utakuwa unatunga mwenyewe na pia unauwakika itakuwa ndani ya mtahala ? kama ni hivi ni vizuri zaidi , hongera kwa hilo.
Ninatunga mwenyewe na pia nafuata format ya mitihani inavyotaka
 
Back
Top Bottom