Basic Mathematics and Advanced Mathematics examination series

Basic Mathematics and Advanced Mathematics examination series

Hello ndugu zangu , katka kurudisha fadhila kwa jamii nimepata wazo LA kupost basic mathematics series na advanced mathematics series kila siku ya jumamosi.
Wanafunzi katka vidato husika endapo watafanya mitihani hiyo ni vyema wanitumie mitihani yao PM kwa mfumo was PDF na nitawawasahihishia, kesho jumamosi nitapost mtihani kwa wiki ya kwanza
Huduma hii ni bure kabisa.
Pia mitihani ya Advanced mathematics nitaanza kuipost March mwaka huu,
Mkuu utakua na past papers za HGL NECTA 2023
 
Mkuu utakua na past papers za HGL NECTA 2023
Bingwa HGL za nini wewe si umesoma petroleum , maana yake ni wa PCM
Huko hatuhitaji msaada, njoo hapa usaidie masomo ya Hesabu na Fizikia , haya ndio janga la taifa....
Anza kwa kujibu hizo papers za Maths
 
Back
Top Bottom