Hongera sana. Wadau watasubiri, interested na advanced maana kitambo sana.Hello ndugu zangu , katka kurudisha fadhila kwa jamii nimepata wazo LA kupost basic mathematics series na advanced mathematical series kila siku ya jumamosi.
Wanafunzi katka vidato husika endapo watafanya mitihani hiyo ni vyema wanitumie mitihani yao PM kwa mfumo was PDF na nitawawasahihishia, kesho jumamosi nitapost mtihani kwa wiki ya kwanza
Huduma hii ni bure kabisa.
Pia mitihani ya Advanced mathematics nitaanza kuipost March mwaka huu,
WaacheTuliokwepa umande kwa utoro sugu shuleni ili tusisome Basic Maths & Stats na Advanced Maths tunaandika wapi?
Huu si ubaguzi wa waziwazi kabisa? [emoji26]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Ahsante mwalimu!!!!!Uwanja ni wenu mathematician,
Nikupe kazi ya kukokotoa maswali ya maths?Ninatunga mwenyewe na pia nafuata format ya mitihani inavyotaka
Kazi huwa ina mshahara lakiniNikupe kazi ya kukokotoa maswali ya maths?
Nic kakaNa me nimeongezea paper... Wazazi watawafanyia correction watoto waoView attachment 2517944
Hongera mkuuNa me nimeongezea paper... Wazazi watawafanyia correction watoto waoView attachment 2517944