Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Ile game na serbia, Serbia walileta upinzani sana, ndio US akafanya kweliHawakawii kuanza Showgame kama yule mtoto EDWARD ana dharau sana dadekiš¤£
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile game na serbia, Serbia walileta upinzani sana, ndio US akafanya kweliHawakawii kuanza Showgame kama yule mtoto EDWARD ana dharau sana dadekiš¤£
Shayok huyo, na akiwa Sudan anaonekana bonge la mwili, Ila hapo kakaa njiani kwa LeBron kajikuta kapisha yeyeSema majamaa wa USA wana miili mikubwa sana, kuna huyu aliyekumbana na LeBron James, nilidhani asingenyanyaku
Davis akapiga bonge la dunkUSA wanajua sana, hii pass aliyotoa KD kwa Antony Davis ni noma sana
Yule alitaka kujiumiza tu bureShayok huyo, na akiwa Sudan anaonekana bonge la mwili, Ila hapo kakaa njiani kwa LeBron kajikuta kapisha yeye
Si unamuona hata Anthony davis
Wameshaanza Sifa zaoš¤£Davis akapiga bonge la dunk
Hao ndik US
USA wanajua sana, hii pass aliyotoa KD kwa Antony Davis ni noma sana
Basket ni mchezo unaotakiwa akili na mwili uwe sharpUSA wanajua sana, hii pass aliyotoa KD kwa Antony Davis ni noma sana
Leo Steph Curry alikuwa mzigo. Sijui kwanini coach kampa minutes nyingi. Kamwaga 3s zote like 0-7
Kweli kwake tu, kuna dogo wa SSD kapiga kitu kama 4/5 hivi, Bam Adebayo kapiga 2/3, Booker 2/2 last game durant was 5/5. Overall jana USA shot 50% from behind the arc.Nadhani yale malalamiko ya tofauti ya mpira wa NBA na FIBA yatakuwa yana ukweli...
Steph curry ndio MVP ambae huwa sijawahi kumkubali japo namna na records zinambebaLeo Steph Curry alikuwa mzigo. Sijui kwanini coach kampa minutes nyingi. Kamwaga 3s zote like 0-7