Basketball: USA kapewa upinzani mkali na South Sudan

Leo Steph Curry alikuwa mzigo. Sijui kwanini coach kampa minutes nyingi. Kamwaga 3s zote like 0-7

Nadhani yale malalamiko ya tofauti ya mpira wa NBA na FIBA yatakuwa yana ukweli...
 
Nadhani yale malalamiko ya tofauti ya mpira wa NBA na FIBA yatakuwa yana ukweli...
Kweli kwake tu, kuna dogo wa SSD kapiga kitu kama 4/5 hivi, Bam Adebayo kapiga 2/3, Booker 2/2 last game durant was 5/5. Overall jana USA shot 50% from behind the arc.
 
Kuna njemba za SSD nyeusi mule,ukionana nazo usiku lazima utoke nduki. Ila game ilikuwa nzuri. Sisi TZ sijui tunashindwa wapi kuwekeza kwenye kikapu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…