Bata Bukini na Bata Mzinga wanauzwa

Bata Bukini na Bata Mzinga wanauzwa

AdanaVural

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
628
Reaction score
353
Habarini wanajamvi, poleni na majukumu ya kujitafutia ridhki.
Ninao bata Bukini wanaotarajia kutaga pair 2, yaani majike 2 na madume 2, na Bata mzinga 3 majike 2 na dume 1.
Bata wote hawa nawauza kwasababu za kuhama eneo hivyo ni vigumu kuwabeba ndio maana nalazimika kuwauza haraka.
Kwa mwenye uhitaji awasiline nami 0782652568.
Bei ya jumla ni 680k kwa wote.
Eneo Kitunda Polisi.
 

Attachments

  • IMG_20240413_112934_370.jpg
    IMG_20240413_112934_370.jpg
    4.4 MB · Views: 25
  • IMG_20240412_091207_727.jpg
    IMG_20240412_091207_727.jpg
    5 MB · Views: 28
Back
Top Bottom