Kile ni noma aseeInategemea unakatumiajeπ
Kuna jamaa akishatumia keupe tu ni ugomvi muda wote kila pisi anaitaka yeyeUkiwa mlevevu kinakulegezaπ
Leo ni MONEY DAY na wala sio Blue MondayMuda wa bata una tabia ya kukimbia sanaπ₯βππΏββ, alafu Jumatatu inawahi kufika kama ilikuwa inavizia kona.
Kile kipindi cha kuanza kuwaza alarm ya asubuhi,
nguo za kuvaa,
na foleni au majukumu ya kazini na chuo ndio hiki hapaπ.
Ile furaha ya wikendi inayeyuka ghafla!π ππΏββοΈβπ₯View attachment 3674561
Nataman nirudi tena km jana π€£Siku ngumu sana leoπ€£
Eeeeh babanguuuu
Kila Jumatatu huwa inakuja na Hoja tatu:Muda wa bata una tabia ya kukimbia sanaπ₯βππΏββ, alafu Jumatatu inawahi kufika kama ilikuwa inavizia kona.
Kile kipindi cha kuanza kuwaza alarm ya asubuhi,
nguo za kuvaa,
na foleni au majukumu ya kazini na chuo ndio hiki hapaπ.
Ile furaha ya wikendi inayeyuka ghafla!π ππΏββοΈβπ₯View attachment 3674561