Bata mzinga kwa wajasiriamali nawashauri kufuga bata mzinga na bata bukini kwa wingi kwani wanamnufaisha sana mjasiriamali ikiwa ni nyama mayai ulinzi wa nyumbani na pia nipambo zuri sana
Mwizi akija kwako huhisi adui mapema ama mtu eyote mbaya awe mwizi mchawi hutoa ishara kwa kupiga sana kelele na pia ana uwezo wa kumfukuza
Bata mzinga kwa wajasiriamali nawashauri kufuga bata mzinga na bata bukini kwa wingi kwani wanamnufaisha sana mjasiriamali ikiwa ni nyama mayai ulinzi wa nyumbani na pia nipambo zuri sana
Mh hii nime ipenda ila sijui akija jambazi itakuweje!