Bata mzinga wakubwa kwa wadogo

Bata mzinga wakubwa kwa wadogo

culboy

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2011
Posts
526
Reaction score
47
Nauza bata mzinga wakubwa kwa wadogo kwa bei nafuu sana karibu 0757 662401
 
Tungeomba utupatie bei, namba ya simu na sehemu unapopatikana.
 
Kitomari,
Nakushauri uwe una-update thread zako za zamani maana zinajirudia hizo hizo kila siku. Thread kama hii ulishawahi kuileta watu wakakuuliza maswali kule hukuwajibu.
 
Bata bukini ulioniletea hii ilikuwa ndio nimewapokea
 

Attachments

  • 1378592472004.jpg
    1378592472004.jpg
    67.3 KB · Views: 179
Mda sio mrefu watakua wakubwa sana walishe tu vizuri kaka
 
natamani sana sku moja kua na shamba la turkey kubwa sana najipanga pia kuusu hii kitu bwana

mahitaji yake hap tz ni makubwa mno ya hizi bata na mengi ya natoka sauth africa
 
Back
Top Bottom