Katika hali isiyo ya kawaida katika ufisadi unaoendelea kuwaka moto Tanzania hali imekuwa mbaya zaidi huko udom kwani wameondoa watu kibao medicine,nursing, midwifery na petrolleum engineering huku nafasi hizo zikionekana kujazwa na watoto wa wakubwa na principles wa colleges na wale wa inservice wenye fedha zao huku wale walioamishwa wakiwekwa ktk kozi za non priority. Na wengine wakiachwa bila kujua hatima yao.
Hmmm!Acha umbea wewe!
kawaida ukweli unauma lakini swala la kuniita mmbea haliniumi lakini kama umefurahia kitendo hiki utaona matokeo yake maana kuna mtu ana point 4 (EEF) Kapelekwa midwifery na mtu mwenye point 10 (CCC) kanyogelewa bsc education lakini siku huyo midwife atakaposhindwa kumsaidia mkeo ndipo utajua umbea wangu Mungu akubariki sana. Lakini jua majuto ni mjukuu.
Ha ha ha... Hata me cjayaelewa haya matokea! Ni ya tz au?
mkuu haya ni matokeo ya mtihani upi?? mbona sielewielewi