Katika hali isiyo ya kawaida katika ufisadi unaoendelea kuwaka moto Tanzania hali imekuwa mbaya zaidi huko udom kwani wameondoa watu kibao medicine,nursing, midwifery na petrolleum engineering huku nafasi hizo zikionekana kujazwa na watoto wa wakubwa na principles wa colleges na wale wa inservice wenye fedha zao huku wale walioamishwa wakiwekwa ktk kozi za non priority. Na wengine wakiachwa bila kujua hatima yao.