Equitable JF-Expert Member Joined Dec 24, 2021 Posts 2,017 Reaction score 5,462 Jun 19, 2022 #1 Nimezunguka kote Tanzania. Kila nikipita hospital na shuleni nakuta mabati mengi yana kutu. Ninavyojua majengo ya serikali hutumia gauge 28. Inakuwaje yapate kutu wakati gauge 30 za mwaka uleule zinadunda?
Nimezunguka kote Tanzania. Kila nikipita hospital na shuleni nakuta mabati mengi yana kutu. Ninavyojua majengo ya serikali hutumia gauge 28. Inakuwaje yapate kutu wakati gauge 30 za mwaka uleule zinadunda?
Upepo wa Pesa JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 21,600 Reaction score 35,158 Jun 21, 2022 #2 Equitable said: Nimezunguka kote Tanzania. Kila nikipita hospital na shuleni nakuta mabati mengi yana kutu. Ninavyojua majengo ya serikali hutumia gauge 28. Inakuwaje yapate kutu wakati gauge 30 za mwaka uleule zinadunda? Click to expand... Kuna kinaitwa 10%. Sijui kama unakijua.
Equitable said: Nimezunguka kote Tanzania. Kila nikipita hospital na shuleni nakuta mabati mengi yana kutu. Ninavyojua majengo ya serikali hutumia gauge 28. Inakuwaje yapate kutu wakati gauge 30 za mwaka uleule zinadunda? Click to expand... Kuna kinaitwa 10%. Sijui kama unakijua.