Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kinaitwa 10%. Sijui kama unakijua.Nimezunguka kote Tanzania. Kila nikipita hospital na shuleni nakuta mabati mengi yana kutu.
Ninavyojua majengo ya serikali hutumia gauge 28.
Inakuwaje yapate kutu wakati gauge 30 za mwaka uleule zinadunda?